Duniani kuna vituko. Huko Kansas Marekani, mhudumu mmoja wa kike (pichani) mwenye miaka 26 amefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya ngono na maiti alizotakiwa kuzifanyia uchunguzi, na kusababisha kupata mimba toka mojawapo ya maiti aliyotakiwa kuifanyia uchunguzi.
Hata hivyo, imewekwa wazi kwamba Marekani haina sheria inayokataza kufanya ngono na maiti, hivyo mwanamke huyo atashitakiwa kwa shambulizi la maiti. Wataam wa mambo ya akili wamedai kwamba mwanamke huyo anasumbuliwa na tatizo la kisaikolojia la mambo ya ngono.
mshana uwe unaona ni mda gani wa kuleta uzi kama huu usiku ule uzi wako wa kufukua maiti gafula nilifungua zile picha zinatisha. Nilipolala tu nikaziota nilikosa usingizi.
Niliogopa sana wengine tunalala wenyewe sio vizuri.
Yaan siku ya jana kila uzi ni maiti kuna ile ya kuchoma maiti loh usiku sikulala