Vituko vya mama mwenye nyumba nimevichoka

mpotezee tu kuwa busy na mambo yako tena kama umelipa odi ishi kwa kujiamini na usionekane home muda woote kama mama wa nyumbani jitahidi kurudi mida ambayo mume wake yuko home
Nimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake.
Nimejaribu kuomba ushauri kwa marafiki lakini bado sikupata jibu.
Kinachoniumiza zaidi ni pango nimelipia mwaka mmoja na tangu nihamie nimekaa mwezi na wiki mmoja.

Naombeni ushauri jamani nifanyeje ili kuepukana na huyu shetani mwenzeni nina hofu ya Mungu.
 
Mkuu huyo mama itakuwa ndio mbinu zake za dhuluma
Mana utasusa uachie nyumba uache na kodi
Na ukisema umkule ukute ni kambinu na mumewe pia kitakachotokea ile anazama ndani mumewe huyooo(mjini mipango) hapo ndo utafukuzwa na unaweza amrishwa kuacha kila kitu(fumanizi tena)

Sasa ww ukijilegeza tu umekwisha cha kufanya mkazie na mrekodi kila mkiongea ,, kisha mwambie namwambia mumeo
Ukiona hatetereki wala haachi kukusumbua jua ni mbinu yao ,utakachofanya cha mwisho kwa kuwa unaushahidi utaenda serikali za mtaa utamshtaki na kurudishiwa kodi yako na gharama ya kuhamisha vitu uhame

Usikubali manyanyaso ya kingono
Kuna watakao kubeza ila ni haki yako kufanya kwa ridhaa yako si kushinikizwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa uzi usipuchukua ushauri huu, elewa by any means unaenda kuteketea

Ushauri mzuri kabisa huu!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omba ushauri kwa mumewe.....
Nimevumilia mda mrefu,mitego haishi alafu ishtoshe ni mke wa mtu naogopa nimejaribu kumuelekeza lakini hataki kunielewa.Dhumuni lake kuu ananitaka kimapenzi na niwe kama mpenzi wake.
Nimejaribu kuomba ushauri kwa marafiki lakini bado sikupata jibu.
Kinachoniumiza zaidi ni pango nimelipia mwaka mmoja na tangu nihamie nimekaa mwezi na wiki mmoja.

Naombeni ushauri jamani nifanyeje ili kuepukana na huyu shetani mwenzeni nina hofu ya Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi nauita huu ni ushamba
Tujifunze kusonga mbele kila mmoja anakaburi lake ambalo likifukuliwa basi hutasaidika kwingine
Kwa nn tusiendane na mada iliyopo?
Okk kama kaachana na mkewe na ndo kaenda kupanga kapatwa na hilo je? Hawezi kusaidika kwa kigezo cha kufungwa na nyuzi zilizopita?

Si tabia nzuri saidia jambo kama lipo ndani ya uweo wako usiwe mwaribifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom