Vituko vya 'Maandazi Republic'?

Vituko vya 'Maandazi Republic'?

Kuna viongozi ambao wamejifungia ndani hawataki kwenda nje wakajifunze angalau kidogo, wengine wana mawazo ya kizamani, they live in their own bubble ya kuamini mzungu mbaya, matajiri wabaya, hate hate hate, kila kitu kidogo ni hasira. Na hata wakiomba kura watapewa tena na tena kwa kua wananchi asilimia kubwa wapo kwenye the same bubble, kati ya wapiga kura wote unaweza kuta 20% tu ndio wanajielewa, wengine wote wanaamini propaganda. Its a really tough battle.
Nafikiri inaweza kuwa chini ya 20% ya wapiga kura ndio wanajitambua. Its so sad aisee. Angalia ufahamu wa "malaika" wetu halafu fananisha na ufahamu wa Uhuru Kenyatta. Ukweli kabisa kuna kipindi unaona kitu mahali halafu unajiuliza hicho kitu kimewezaje kufika pale kilipo.
 
Kama una chama cha upinzani ambacho Mwenyekiti wacho ni mtu wa "unga", chama ambacho miaka tisa kinamtukana mtu fisadi kisa kesho yake kinamfanya awe mgombea wacho wa urais, chama ambacho agenda yao miaka yote ni ufisadi kinapogeuka kuwatetea wtuhumiwa wa ufisadi na kumpinga Rais anayepambana dhid ya ufisadi, chama ambaco kimekuwa kimbilioa la wafisadi na wapiga dili wote kiliokuwa kinawatukana, chama ambacho hata muasisi wacho Mzee mstaafu wa BoT anajutia kumpatia mkwe kukiongoza, unategemea nacho wanachama wacho au mashabiki waweze kutoa constructive criticism?

Ni mzaha sana tena usiomithilika kuwa na chama hicho kwenye nchi hii.
Hii ndio aina ya wananchi wa maandazi republic...lazima viongozi wao watakuwa ni watu wenye vinyongo, chuki na visasi.Kweli hii ni "Nchi ya vi-wonder"! Mtu mwenye ufahamu kama wako hakutakiwa hata kuwa na access ya computer/simu kupost uchizi kama huu.
 
Mi nadhani tuiite NGANO REPUBLIC maana ina mambo mengi ka ngano, beer, chapati, maandazi, mikate, keki, sambusa, kaukau, hadi urojo na mtori wa ngano mtauona kwenye hii republic
"Pombe" Republic would have been another good name for Tanzania. Tena hapo kwenye pombe ni pombe za kienyeji.
 
Hii ni full ulimbukeni. Limbukeni akipata kila kiungo hupiga kelele
 
Wazungu kuna nchi wanaziita 'Banana Republics'
Sababu nchi hizo zinakuaga very unstable na corrupt sana...na kawaida huwa
zinaongozwa na dikteta asietaka ushauri.....na hali ya kiuchumi huwa mbaya sana...

Sifa nyingine ya Banana Republic huwa haziheshimu katiba wala utawala wa Sheria

lolote linaweza kutokea bila kujali sheria zinasemaje...

Nimejiuliza baada ya kuona yoote tuliyo yaona wiki hii na wiki iliyopita
hatupo kweli 'maandazi Republic'?

Hivi kuna nchi yoyote ile ambayo ina vituko kama vyetu?

Kuandaa mapambio na vibwagizo eti kwenye mkutano wa kupambana na madawa ya kulevya?
kweli?

Wale wale watuhumiwa nao kugeuka 'wasemaji ' na wapambanaji?
kweli?

kumbe hata bajeti tu ya mapambano ni sifuri..

Vituko vimekuwa viingi kwenye hiii Maandazi Republic...
full mizaha na kukomoana tu....hakuna kitu serious kabisa
Vita ya madawa imeshaisha....

Hivi sasa vimeibuka vita vipya...

Viya vya mashoga...

Na hivi sasa tuna kamanda mpya... Kingwandu... Kingwangwandu...

IMG-20170215-WA0001.jpg
 
Wagonjwa wa akili mirembe wameongezeka...nimesikia leo kwenye magazeti asubuhi
 
Tumeshadumbukiza miguu yote 2 bado kuzama tu tutaweza kuogelea na kujinasua ! Ndani ya maji haya ya ziwa ambayo hayana mwelekeo!!
Mkuu sisi tumeza kwenye tindiga bora hata tungekuwa kwenye maji wenye kujua kuogelea wangetuokoa
 
Back
Top Bottom