Vituko vya 'Maandazi Republic'?

Vituko vya 'Maandazi Republic'?

Mkuu kwani Tz. unaionaje? Hakuna utawala wa sheria? hakuna demokrasia? Katiba haifuatwi? Kwani kuna uonevu? kama hayo hakuna basi hatuko ktk kundi lolote kati ya hayo mawili, ILA kama hayo hapo basi sisi ni....... nini vile eti?

Katiba inasema watu wako huru kuongea chochote

na inahakikisha uhuru wa mikutano ya kisiasa

na sheria za uhalifu ni kila mtu ni 'innocent hadi mahakama ikutamke una hatia'

je we unaonaje?
 
na wanabahati wamebadilisha script na director otherwise tungejionea mengi ambayo hatujawahi kushuhudia
 
Mtukufu ana kazi haswa!
Kila siku kuangalia tv na kutoa maelekezo kwa aliyoyaona
Kupitia mitandao yote kuona nani anamkashifu
Banana republic

Labda kuna mtu maalum wa kupitia mitandao
 
Wazungu kuna nchi wanaziita 'Banana Republics'
Sababu nchi hizo zinakuaga very unstable na corrupt sana...na kawaida huwa
zinaongozwa na dikteta asietaka ushauri.....na hali ya kiuchumi huwa mbaya sana...

Sifa nyingine ya Banana Republic huwa haziheshimu katiba wala utawala wa Sheria

lolote linaweza kutokea bila kujali sheria zinasemaje...

Nimejiuliza baada ya kuona yoote tuliyo yaona wiki hii na wiki iliyopita
hatupo kweli 'maandazi Republic'?

Hivi kuna nchi yoyote ile ambayo ina vituko kama vyetu?

Kuandaa mapambio na vibwagizo eti kwenye mkutano wa kupambana na madawa ya kulevya?
kweli?

Wale wale watuhumiwa nao kugeuka 'wasemaji ' na wapambanaji?
kweli?

kumbe hata bajeti tu ya mapambano ni sifuri..

Vituko vimekuwa viingi kwenye hiii Maandazi Republic...
full mizaha na kukomoana tu....hakuna kitu serious kabisa

Kama una chama cha upinzani ambacho Mwenyekiti wacho ni mtu wa "unga", chama ambacho miaka tisa kinamtukana mtu fisadi kisa kesho yake kinamfanya awe mgombea wacho wa urais, chama ambacho agenda yao miaka yote ni ufisadi kinapogeuka kuwatetea wtuhumiwa wa ufisadi na kumpinga Rais anayepambana dhid ya ufisadi, chama ambaco kimekuwa kimbilioa la wafisadi na wapiga dili wote kiliokuwa kinawatukana, chama ambacho hata muasisi wacho Mzee mstaafu wa BoT anajutia kumpatia mkwe kukiongoza, unategemea nacho wanachama wacho au mashabiki waweze kutoa constructive criticism?

Ni mzaha sana tena usiomithilika kuwa na chama hicho kwenye nchi hii.
 
Kwa mbaaaaali naona Tanzania ya Viwanda ikipeperuka..

Tanzania kila kitu ni maigizo.
 
Wazungu kuna nchi wanaziita 'Banana Republics'
Sababu nchi hizo zinakuaga very unstable na corrupt sana...na kawaida huwa
zinaongozwa na dikteta asietaka ushauri.....na hali ya kiuchumi huwa mbaya sana...

Sifa nyingine ya Banana Republic huwa haziheshimu katiba wala utawala wa Sheria

lolote linaweza kutokea bila kujali sheria zinasemaje...

Nimejiuliza baada ya kuona yoote tuliyo yaona wiki hii na wiki iliyopita
hatupo kweli 'maandazi Republic'?

Hivi kuna nchi yoyote ile ambayo ina vituko kama vyetu?

Kuandaa mapambio na vibwagizo eti kwenye mkutano wa kupambana na madawa ya kulevya?
kweli?

Wale wale watuhumiwa nao kugeuka 'wasemaji ' na wapambanaji?
kweli?

kumbe hata bajeti tu ya mapambano ni sifuri..

Vituko vimekuwa viingi kwenye hiii Maandazi Republic...
full mizaha na kukomoana tu....hakuna kitu serious kabisa
Sifa kubwa ya Banana republic ni kuwa na corruption, yes! Lakini kubwa zaidi ni mapato ya serikali kuwa ni kwa manufaa ya wachache, wakati madeni ni ya wote nchini. Hiyo ndo iliyokuwa serikali ya awamu iliyopita.
 
Wazungu kuna nchi wanaziita 'Banana Republics'
Sababu nchi hizo zinakuaga very unstable na corrupt sana...na kawaida huwa
zinaongozwa na dikteta asietaka ushauri.....na hali ya kiuchumi huwa mbaya sana...

Sifa nyingine ya Banana Republic huwa haziheshimu katiba wala utawala wa Sheria

lolote linaweza kutokea bila kujali sheria zinasemaje...

Nimejiuliza baada ya kuona yoote tuliyo yaona wiki hii na wiki iliyopita
hatupo kweli 'maandazi Republic'?

Hivi kuna nchi yoyote ile ambayo ina vituko kama vyetu?

Kuandaa mapambio na vibwagizo eti kwenye mkutano wa kupambana na madawa ya kulevya?
kweli?

Wale wale watuhumiwa nao kugeuka 'wasemaji ' na wapambanaji?
kweli?

kumbe hata bajeti tu ya mapambano ni sifuri..

Vituko vimekuwa viingi kwenye hiii Maandazi Republic...
full mizaha na kukomoana tu....hakuna kitu serious kabisa
Kiki yao imebuma wananchi wanahitaji maisha bora sio comedy kila kukicha,istoshe ndio RC wa ajabu kuwahi kutokea tz halafu mshauri wke ni baba mwenye miaka 56 ambae maisha yamempiga kabaki kua mpambe n kuwadi.
Hku akisubiria mzee adanje apate japo nyumba ajisitiri
 
Binafsi naona hii ni "Awamu" Serekali ya Kulipa Visasi na Kukomoana.
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Back
Top Bottom