Vituko vya house girl

Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,129
Likes
262
Points
160

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,129 262 160
Jamani hii imenichekesha sana jana wakati nimerudi home toka kazini house girl wangu akaniambia eti kuna kijana wa nyumba ile ya jirani kanambia you are very handsome!!!! Nikamuuliza unaelewa maana yake akaniambia alivyoniambia hivyo mie nikakimbia nikarudi ndani.
 
hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Messages
5,898
Likes
449
Points
180

hashycool

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2010
5,898 449 180
Jamani hii imenichekesha sana jana wakati nimerudi home toka kazini house girl wangu akaniambia eti kuna kijana wa nyumba ile ya jirani kanambia you are very handsome!!!! Nikamuuliza unaelewa maana yake akaniambia alivyoniambia hivyo mie nikakimbia nikarudi ndani.
hicho kibinti cha iringa?
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
6,840
Likes
1,120
Points
280

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
6,840 1,120 280
Nyie watu wachokozi mie nakaa kimya no comment.....Yaani nichakachue housegirl aaahhh mmnidhalilisha aisee. Sijawahi

Kwa nini usichakachue housegirl?Kwani hana kifanyio,mbona unawadhalilisha mabinti wadogo na watamu namna hii?
Na kama kweli unavyosema hujawahi siku ukiwahi hutakaa uache na utakuwa kila siku unawavizia njia za kwenda madukani na sokoni.
 
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,129
Likes
262
Points
160

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,129 262 160
Kwa nini usichakachue housegirl?Kwani hana kifanyio,mbona unawadhalilisha mabinti wadogo na watamu namna hii?
Na kama kweli unavyosema hujawahi siku ukiwahi hutakaa uache na utakuwa kila siku unawavizia njia za kwenda madukani na sokoni.

Watamu kwako si kwa wote kama umezoea kuwafataki watoto wa watu tutakushitaki muone kwanza hata haya huna
 
Forum statistics

Threads 1,204,497
Members 457,348
Posts 28,160,980