911sep11 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,469 Reaction score 4,308 Oct 19, 2018 #1 kazi kweli kweli
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,794 Reaction score 48,031 Oct 19, 2018 #2 Hiyo app ni msaada mkubwa mno kwangu Imenisaidia kusoma articles za kifaransa na kuchat na watu wanaozungumza kifaransa
Hiyo app ni msaada mkubwa mno kwangu Imenisaidia kusoma articles za kifaransa na kuchat na watu wanaozungumza kifaransa
Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,961 Reaction score 3,698 Oct 19, 2018 #3 MKUU GOOGLE INATUWEZESHA KUNUNUA MITANDAO YA LUGHA ISIYOKUWA ENGLISH AU KISWAHILI
Stephen Ngalya Chelu JF-Expert Member Joined Oct 31, 2017 Posts 8,286 Reaction score 18,568 Oct 20, 2018 #4 Kwenye lugha kama kifaransa, english na kijerumani wako vizuti ila kwenye kiswahili ni bure kabisa.
Mbobo JF-Expert Member Joined Jan 13, 2017 Posts 1,396 Reaction score 1,825 Oct 20, 2018 #5 iyo mpaka ikupe hitaji lako unapaswa kuandika kiswahili fasaha kabisa LA sivyo utapata mambo Kama hayo
iyo mpaka ikupe hitaji lako unapaswa kuandika kiswahili fasaha kabisa LA sivyo utapata mambo Kama hayo
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,085 Reaction score 39,557 Oct 20, 2018 #7 Google haijalibiwi,ukiijaribu ndio umeharibu kabisaa.
gudaa Member Joined Dec 31, 2013 Posts 31 Reaction score 11 Oct 4, 2021 #8 salaniatz said: MKUU GOOGLE INATUWEZESHA KUNUNUA MITANDAO YA LUGHA ISIYOKUWA ENGLISH AU KISWAHILI Click to expand... kama ipi chief ?
salaniatz said: MKUU GOOGLE INATUWEZESHA KUNUNUA MITANDAO YA LUGHA ISIYOKUWA ENGLISH AU KISWAHILI Click to expand... kama ipi chief ?
S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,956 Reaction score 4,899 Oct 6, 2021 #10 Hio Ndio inaitwa AI ( artificial intelligence) Inasaidia sana Kwenye mawasiliano ya lugha tofauti. Hapo Kwenye sentensi ya kutafsiriwa ukikosea spelling inakupa mapendekezo yake inayoona yataleta usahihisho
Hio Ndio inaitwa AI ( artificial intelligence) Inasaidia sana Kwenye mawasiliano ya lugha tofauti. Hapo Kwenye sentensi ya kutafsiriwa ukikosea spelling inakupa mapendekezo yake inayoona yataleta usahihisho
Ferruccio Lamborghini JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,667 Reaction score 2,624 Oct 9, 2021 #13 Aiseee
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,913 Reaction score 10,740 Oct 9, 2021 #14 tumepigwa
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,191 Reaction score 11,616 Oct 9, 2021 #15 Kwwnye baathi ya sentensi inatafrisi words ila na wakati mwingine unatafsiri aideas
C CRYPT JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 385 Reaction score 828 Oct 10, 2021 #16 Waterbender said: tumepigwa Click to expand...