Vituko Uswahilini! Umewahi kufake? Umeshawahi kuigiza?

Ungefake tena Hapo ulipokamatwa?
Man miaka 15 iliyopita kila kitu kilikuwa ni fake..
michango ya kanisa fake
kuna siku ambayo nikikumbuka huwa nakuwa mnyonge kidogo ni siku nilipoenda kwa mtaalam huku yeye akiwa na uwezo wa kujua matatizo yangu lakini akashindwa kujua ni nini hasa kimenipeleka kwake, akanitajia pesa ndefu wakati mimi mfukoni nina buku tuu, nikamwambia tawile, fanya kazi, akaniacha kilingeni akaingia ktk nyumba kubwa, mimi nikakusanya nilivyoona vitanisaidia huko mbele nikasepa....ilikuwa ni kigoma ujiji...hiyo siku nilikutana na misukosuko mingi sana huko mbele...baada ya kuvuka boda...kila kitu kilikuwa ni fake kwa zaidi ya miaka kumi, nchi baaada ya nchi
 
baada ya kuvuka boda...kila kitu kilikuwa ni fake kwa zaidi ya miaka kumi, nchi baaada ya nchi, Mkuu wewe ni bonge la bahari!

Hahhahaa pole mkuu, ndo utafutaji.
 
Mimi nilisha fake mtoto wa kigogo, kumbe mim ni carwas.

Siku moja nikiwa chocho flani nimetupia pamba za wastani, kichwani kama kawaida nimetupia cotton, chini nimetupia mnyonyo, kati nimetupia tshert kali la kuazima kwa mshkaji, hapo naenda kuchukua gari kwa boss wangu kwenda kulipiga water, Mungu si Rose nikakutana na demu mmoja mkali nikamwelewa, ile kumpa hai na maneno mawili matatu hanielewi wala nini, nikamwambia home ni pale kwenye gate jeusi, akaniambia poa kumbe siyo hom ni kwa boss mwenyewe naenda kuchukua gari nilipeleke ofisini kulipiga water, nikamwambia demu nisubiri nikupeleke na gari yangu,

****Sametext Missing***
 
hiyo tunaita "akili ya kazi"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom