Vituko Ndani ya Train Number 4 to Yankee Stadium in the Bronx

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
train.jpg

This happened in the United States, after kissing for sometime this couple decided to have sex in a moving train. They didn’t care people were looking at them.
 
Imekuwa fasheni sasa,mara beach,nite club,kwenye train!mwishoni watahamia kwenye nyumba za ibada.
 
Jamaa hawajali kabisa,nadhani vichwa vyao vina matatizo ya msingi.si akili ya kawaida hiyo kabisa!
 
Japo mla chake hapangiwi ni meza ipi akalie, ila kwa hili sasa linavuka mipaka! ANGALIZO, haya tunayaona kwa wenzetu sasa kama kituko lakini wabongo kwa jinsi tulivyo wepesi wa kuigiza kesho utayaona kwetu. Mtakuja kunisuta hapa.
 
nakuunga mguu badala ya mmkono,kama hawa mahayawani wanao cheza maigizo(bongo movie)ndo watakuwa wakwanza,mie nafikiri bora binadam ambaye hakuelimika kuliko huyu alielimika maana amekuwa mpumbavu kwelkwel,utakuta mama anamfededa mwanae wakuzaa,bibi miaka hamsini anatafuta viaunder twenty..basi tu
 
Matatizo ya demokrasia iliyozidi kipimo,wakati mwingine huwa nawaona Uamsho kama wana point kwenye upuuzi kama huu
 
Back
Top Bottom