Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Hahaha acha kabisa yan leo nmecheka hakika![]()
![]()
ila yule mzee kanichekesha sana watu wanamuita dada nunua skin tait mzee anajibu asante sana kwa ushauri
![]()
![]()
nlikua namheshim sanHahaha acha kabisa yan leo nmecheka hakika![]()
![]()
ila yule mzee kanichekesha sana watu wanamuita dada nunua skin tait mzee anajibu asante sana kwa ushauri
![]()
![]()
nlikua namheshim sanUpo Charm Deko...!!!Mama Jj a.k.a Bujilebujile
Jf rahaaaa sana
Ila Ww Jolie Jolie Ni Mpambe Balaaaaahhb
Hili Benchi La Ufundi Ni BalaaahNiwekee link mdogo wangu mzuri mzuri si unajua vile nakupenda
Naith Angekuwa Kalibu Yako Makonzi Ya Kichwa YangeusikaMungu hiki ulichoandika umemaanisha nini? Sijapenda kwakweli hata kama ni mawazo yako tu lakini nadhani tuna mipaka
Shunie aliomba linkIla Ww Jolie Jolie Ni Mpambe Balaaaaahhb
ya nifanyaje matako yasitingishike nitembeaponimekurupuka nini? dada mwenyeji?usikurupuke ten siku ingine![]()
![]()
![]()
![]()

Hahaha yan hujanfkia mm nmecheka walah
Afu kuna sehem akaja na akaunt yake real na ye anampa ushaur gilesi hahaha nmechekaaaaaa
Kuendelea mbele nakuta mmoja mmoja anaanza kushtuka haha eti,kumbe ni mwanaume dah!!!
Babu asprin nae kumbe alizama pm kwenda kumtongoza gilesi

Aithee Nyie Watu Mnafukua Makabuli DuuuuuhhGilesiii sjui kama alifat huu ushaurView attachment 719401
Huu Uzi Jaman Achen Tuuuu

Ila member's wa humu uongo walionao sijui hata kama shetani anawahitaji!!!
Kuna mwingine alileta uzi hapa akidai amemaliza masomo yake nchini China mda kurudi nyumbani Tz umefika akadai a nahitaji binti wa kula naye bata hapa bongo!!!
Kurudi kufatilia nyuzi zake za nyuma miezi michache alisema anaishi dar mazense tena alileta kisa cha yeye na mke wake, nikajiuliza huu uongo ni kwa faida ya nani!!!!!!

Cc Mjukuu Wa Chief Kwa Mujib Wa Dada Zangu Wa JfNitajie huyo mwenye ushungi wakwetu nimepitwa lol
Naona Ww Humu Ndio Unachepeo La Kufukua MakabuliShunie aliomba linkya nifanyaje matako yasitingishike nitembeapo

NAHUJA ndo alileta idea mkuuNaona Ww Humu Ndio Unachepeo La Kufukua Makabuli![]()
![]()
![]()
Uzuri wa jf yani watu wanakumbuka matukio vizuri,,Sasa unazani Leo (mzee baba) gilesi anajisikiaje anaposoma humu




![]()
![]()
ila yule mzee kanichekesha sana watu wanamuita dada nunua skin tait mzee anajibu asante sana kwa ushauri
![]()
![]()



