Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Huyo ndo Gilesi mwenyewe hahah nahisi ndo mabembelelele huyoHahahahahaaa. Acha basi wifii
Huyo ndo Gilesi mwenyewe hahah nahisi ndo mabembelelele huyoHahahahahaaa. Acha basi wifii
Muacheee kabis mme wangu tena omba radhiiDunia itatikisika siku Mshana jr akitangaza anatafute mume na anafanya kazi massage parlour 😀😀😀😀😀😀
nimejaribu kuwaza tu kwa sauti
Nimecheka mpaka nimetoa machozi. Daah. Kwahiyo alitaka kuwachora wanaume wenzie pm au?





Mm zaidi nilikua namwangalia huyo anayesema sijui na I'd mbili sijui nilimqote hata thread hajawahi anzisha yaan anataka kiki nitampa kiroho safi


naona kawa kama richabra,sijui yuko wapi sasahivi.
Ebu tafuta na ya mama mchungaji
Bahati hiyo me siitaki mtu akitoka akirudi pm salaam hapana jamaniIla ukisalimiwa kila wakati si ndio bahati hiyo dada, wenzako wanaenda kwa waganga kisa hawasalimiwi njiani
Hahaha yan hujanfkia mm nmecheka walahNimecheka mpaka nimetoa machozi. Daah. Kwahiyo alitaka kuwachora wanaume wenzie pm au?![]()
Hakiii akanifanya nimuwaze richaabranaona kawa kama richabra,sijui yuko wapi sasahivi.
Na picha lake lile la peramiho
Dah asante sana its alright nimeshtuka mnoBrother samahani sana nimetania tu, I'm very sorry brother
Hahaha yan hujanfkia mm nmecheka walah
Afu kuna sehem akaja na akaunt yake real na ye anampa ushaur gilesi hahaha nmechekaaaaaa
Kuendelea mbele nakuta mmoja mmoja anaanza kushtuka haha eti,kumbe ni mwanaume dah!!!
Babu asprin nae kumbe alizama pm kwenda kumtongoza gilesi






ngoja nikaendelee ina pages nyingi nimeona uvivuHatukujua,walichambana na uzi ukafungwaHivi alileta mrejesho alikutana na huyo The List? hahahha. JF raha I swear
Dada nahuja yuko vizur ndo kanifungua machoooEbu tafuta na ya mama mchungaji
Its alright usijali.. Kuna kupitiwa pia... Asante kwa welediNaomba tu ufte hiyo post,nimeshaifuta, samahani kwa usumbufu ulijtokeza kwako na familia yako,
Pamoja daimaasante brother