Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Hata najua basi ila anaonekana mzoefu tuHivi mambembe ni nani?
Hata najua basi ila anaonekana mzoefu tuHivi mambembe ni nani?
Tatizo nitasahau siku. Naomba hili pepo lisiniingiee nikafungua ingune bureKwa Akili Za Mzigua90 100% Atakuja Fungua Hiyo Kitu Jaman


anaitwa giLESI na uzi wake wa "Nifanyeje Mat'ako' yasitingishike nitembeapo?" hahahahahah. Ila mods waliounganisha ID za Bujibuji hawakuwa fea kabisa. Maskini mwenyewe kajitahidi kuedit ule uzi lakini sasa shida inakuja kwa wale ambao walikomenti kwa kuquote ile thread kwa hiyo maneno ambayo ameongezea kwa mfano lile neno kwamba eti kaitoa sehemu, linaonekana kaliongezea tena kwa font tofauti, na replies zake amejitahidi kuzifuta lakini bado mambo hayajakaa vizuri. Ahsante mods kwa kufunga ule mjadala hakuna tena ku comment pale zaidi ya ku like tu. hahahahahaha. JF kuna raha sana asikwambie mtu.
afanyaje matako yasitingishike

![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweny ile ligi ya mambembe na The list,kuna mtu alisema "jf hapaaminiki,unaweza kukuta dada mambembe ndo uyo kaka The list"




nakumbukaSitakagi ujinga mkuu tuheshiamiane hamna mtoto humu niheshimu nitakupa heshima yangu mara mbili ukijifanya chizi nitakuwa chizi zaidi yako
Sitii Neno HapaWakunyumba mwache tuuSitakagi ujinga mkuu tuheshiamiane hamna mtoto humu niheshimu nitakupa heshima yangu mara mbili ukijifanya chizi nitakuwa chizi zaidi yako
😀😀😀😀😀😀 daah basi atakua alinichota sana![]()
![]()
![]()
![]()
Kweny ile ligi ya mambembe na The list,kuna mtu alisema "jf hapaaminiki,unaweza kukuta dada mambembe ndo uyo kaka The list"
Sijui ulimkosea nini,maana akiona comment yako nadhan alikua anajaa mpaka kifua kitake kupasuka bure....hahaa ulivo mshenzi sasa unajichekea tuKama Mambembe nilijitahidi jamani kumkwepa.![]()
Kwa Akili Za Mzigua90 100% Atakuja Fungua Hiyo Kitu Jaman





na akifungua akiniambia namtangazaanaitwa giLESI na uzi wake wa "Nifanyeje Mat'ako' yasitingishike nitembeapo?" hahahahahah. Ila mods waliounganisha ID za Bujibuji hawakuwa fea kabisa. Maskini mwenyewe kajitahidi kuedit ule uzi lakini sasa shida inakuja kwa wale ambao walikomenti kwa kuquote ile thread kwa hiyo maneno ambayo ameongezea kwa mfano lile neno kwamba eti kaitoa sehemu, linaonekana kaliongezea tena kwa font tofauti, na replies zake amejitahidi kuzifuta lakini bado mambo hayajakaa vizuri. Ahsante mods kwa kufunga ule mjadala hakuna tena ku comment pale zaidi ya ku like tu. hahahahahaha. JF kuna raha sana asikwambie mtu.















Jolie Jolie Shunie
Akuuu nitakachofanya ni kulog out tu wakunyumba ban nimezichokaYaaani. Nisaidie wakunyumba nikichambwa. Sijui aliniona pm ya bwana ake yarab
Ipo Siku Tuuuukumbe unaogopa na wewe kufukuliwa lako eeh
hahaha,yaani kwenye hiyo ID yake alijiita giLESI eti ni mwanamke, kwa hiyo katika thread inayofurahisha ni hiyo zaidi na zingine, sasa mods sijui wakawa vipi wakaunga ID zake, sasa hapo ukimfikiria Bujibuji umjuaye, halafu uvute hisia kwamba alijifanya ni mwanamke, alikuwa anawasanifu watu na watu walitiririka kweli. ni uzi wa mwaka nadhani 2013 hahahahaha![]()
![]()
![]()
afanyaje matako yasitingishike
![]()
![]()
Kwa Maandishi Makubwa Kabisa Yanina akifungua akiniambia namtangaza
Jamani khaaa ikawaje sasaanaitwa giLESI na uzi wake wa "Nifanyeje Mat'ako' yasitingishike nitembeapo?" hahahahahah. Ila mods waliounganisha ID za Bujibuji hawakuwa fea kabisa. Maskini mwenyewe kajitahidi kuedit ule uzi lakini sasa shida inakuja kwa wale ambao walikomenti kwa kuquote ile thread kwa hiyo maneno ambayo ameongezea kwa mfano lile neno kwamba eti kaitoa sehemu, linaonekana kaliongezea tena kwa font tofauti, na replies zake amejitahidi kuzifuta lakini bado mambo hayajakaa vizuri. Ahsante mods kwa kufunga ule mjadala hakuna tena ku comment pale zaidi ya ku like tu. hahahahahaha. JF kuna raha sana asikwambie mtu.
Hahahhaha kwa nini tenaNyie Watu Siwawez
Hakuna Nipo Vzr Kinoma Noma





kwahiyo mboga za jamani hazihitajiki