Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

halaf sisi wengine tukiandika za kuudhi wala hatujibu vibaya mzigua sasa akiandika hata kawaida woiiii anakoma
Naona alifungua ile ID kwa ajili yangu. Nilivyo mpole mtoto wa watu sijui nililikoroga wapi
 
Kuna member anaitwa sexless mara leo nimezaa na handsome kesho yake unasikia mke wangu kakimbia kitandani tukiwa kwenye show,
Mara ohh Nimepata right mani kazini mume wangu simtaki tena, kesho yake utasikia Nimeamua kimuacha mke wangu rasmi. Yan full vurugu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom