Ule uzi umefungwa hakuna ku comment zaidi ya ku like tuJamani khaaa ikawaje sasa
Ule uzi umefungwa hakuna ku comment zaidi ya ku like tuJamani khaaa ikawaje sasa
hahaha,yaani kwenye hiyo ID yake alijiita giLESI eti ni mwanamke, kwa hiyo katika thread inayofurahisha ni hiyo zaidi na zingine, sasa mods sijui wakawa vipi wakaunga ID zake, sasa hapo ukimfikiria Bujibuji umjuaye, halafu uvute hisia kwamba alijifanya ni mwanamke, alikuwa anawasanifu watu na watu walitiririka kweli. ni uzi wa mwaka nadhani 2013 hahahahaha
daaaaah jf buaaana aaaiiii
Hapana jamani tia tu![]()
![]()
![]()
![]()
Sitii Neno Hapa
Kwa Shunie Na Ww Hutoa Tuuuuu Ovyo Ovyo Hata Kama Unacho....??Jomoniiii hornet vibaya hivyo kumnyima mwenzio kitu unacho

Sawa wakunyumbaWakunyumba mwache tuu
HahahahaaNyie Watu Siwawez
Naogopa Kipigo Cha Mbwa MwiziHapana jamani tia tu
Sijui ulimkosea nini,maana akiona comment yako nadhan alikua anajaa mpaka kifua kitake kupasuka bure....hahaa ulivo mshenzi sasa unajichekea tu

halaf sisi wengine tukiandika za kuudhi wala hatujibu vibaya mzigua sasa akiandika hata kawaida woiiii anakomaunaweza tu ku search: Nifanyeje Mat'ako' yasitingishike nitembeapo? hahahahah na kwambia uzi una page karibia 38 hahahahaah![]()
![]()
![]()
daaaaah jf buaaana aaaiiii
Mzoefu Katika Nin Sasa Ebu Tunyama Hapa Plz..!!!Hata najua basi ila anaonekana mzoefu tu
Sasa mods kwa nini waliunganisha
Hahahahaaa. Si nilikua najua anachokitaka kazi yangu ikawa kucheka tu na kulike asiniharibie siku.Sijui ulimkosea nini,maana akiona comment yako nadhan alikua anajaa mpaka kifua kitake kupasuka bure....hahaa ulivo mshenzi sasa unajichekea tu
hahaha,yaani kwenye hiyo ID yake alijiita giLESI eti ni mwanamke, kwa hiyo katika thread inayofurahisha ni hiyo zaidi na zingine, sasa mods sijui wakawa vipi wakaunga ID zake, sasa hapo ukimfikiria Bujibuji umjuaye, halafu uvute hisia kwamba alijifanya ni mwanamke, alikuwa anawasanifu watu na watu walitiririka kweli. ni uzi wa mwaka nadhani 2013 hahahahaha

Kwahiyo utaniacha eeh. SawaAkuuu nitakachofanya ni kulog out tu wakunyumba ban nimezichoka
@Mbitiyaza hapendagi hizi mambo za umbea umbea jamanihahhahahahah, mwite na Miss Natafuta na MBITIYAZA JF maraha kwa kweli
hahaha,yaani kwenye hiyo ID yake alijiita giLESI eti ni mwanamke, kwa hiyo katika thread inayofurahisha ni hiyo zaidi na zingine, sasa mods sijui wakawa vipi wakaunga ID zake, sasa hapo ukimfikiria Bujibuji umjuaye, halafu uvute hisia kwamba alijifanya ni mwanamke, alikuwa anawasanifu watu na watu walitiririka kweli. ni uzi wa mwaka nadhani 2013 hahahahaha

Hana akili huyoKwa Maandishi Makubwa Kabisa Yani
Naomba link basi jamanUle uzi umefungwa hakuna ku comment zaidi ya ku like tu