Vituko na vioja vya wadada wa benki

Hata wewe unachoandika hapa naona blah blah na kuleta dharau za mishahara ya watu. Wewe vipi unalipwa bilioni kwa mwezi?
No matter what Effective and Satisfactory Customer service ni Muhimu sana achana na Kujuana na walinzi na mambo ya mishahara
 
Kuna vitu nilienda kulipia manispaa ya kinondoni, ss ndani mule kuna crdb, basi nikakaa foleni wee kuja kutahamki kumbe system imegoma transfer hazifanyiki basi huyooo kwa uzoefu wangu mdogo nikaenda kwa wahasibu nilipie kwa cash, wakanijibu kistaarabu kwamba hawawezi kupokea cash mpaka bank wawataarifu, nikarudi bank nikaingia na kumwambia 'bi teller', waambieni basi kule watupokelee cash...weweee alivyonijibu kwa nyodo na dharau eti 'nani kakupa ruhusa kuenda kule'...mama mama mama wee kilichomkuta naona aliniota usiku, nilimbadilikia ghafla nilimfokea km mbwa nikamwambia hela yangu ndo inakuweka hapa so uwe na adabu nikampaka vzr sana alinywea km mchicha uliochemshwa!
Safi sana
 
Sijawahi ona bank wastaarab,akili tulivu.weledi wa kazi kama equity.sijutii kwenda kufungua acc pale.
Mikogo na dharau nlizokutana Nazo kwa wanawake wenzangu Kule crdb na nmb sirudi tenaaa!!
Mbona mimi teller hasa wa kike huwa wanizongania, utasikia ukija unyooshe kwangu usiende kwa fulani.
Mnakosea, tengenezeni mazingira, kuna siku nilichelewesha NMB kufungwa kwa nusu saa.
Mlinzi alipewa taarifa na meneja kuwa kuna mteja mwenye jina Mswati umruhusu aingie.
 
Niliwahi dharauliwa na mmoja alikuwa branch Fulani la Sasa akahamia branch la mahali ninako ishi

Mara paap siku akatua ofisinj kwangu akanikuta nikauchuna

Ila alibadilika kitabia sana alikuwa mpole na mtaratibu ikapita Kama nikasikia amefariki (RIP) breast cancer ilimchukua

Maisha Ni mzunguko
 
Hahah...unachosema ni kweli kabisa. hata mimi ndo utaratibu wangu. kila Bank ninayoenda lazima ni-recruit marafiki na tips za hapa na pale. yaani kama naenda Bank nampigia simu ananijazia bank slip na mimi naenda kumalizia signature. mpaka branch manager wanakuwa washikaji kwani nilikuwa nawatoa tips. sometimes nilikuwa nampigia manager achukue hela kwenye A/C yangu ampe teller aniletee ofisini......ukiwajuana na watu raha sana...
Utakuwa na mipango ya wizi wewe
 
KUNA SHEM WENU YUPO AZIKIWE, ALIKUWA MSTAARABU MNO, ILA MWAKA MMOJA TANGU AANZE KAZI CRDB ALIKUWA NA TABIA MBAYA YA KUBINUA MIDOMO, NIMEWAHI MCHAPA KOFI KAMA MARA 3 HV, AKAACHA HYO TABIA..
Hahahaha Safi sana huwa wanajiona maisha wameyapatia

Wanajikuta Mackenzie bezos
 
ishanikuta kupigwa na mdada,
nilitoa M3,
kanipiga elf 10.
nilifatlia hadi ikarudi,
polen wadada wa benki.
 
Eheee.....nilitaka kuanza kuwachunguza wa hapa counter kumbe hapa ni bar mwee.... sijalewa kiviiiileee... ebu waiter niongeze nyingine ya moto......
 
Sijawahi ona bank wastaarab,akili tulivu.weledi wa kazi kama equity.sijutii kwenda kufungua acc pale.
Mikogo na dharau nlizokutana Nazo kwa wanawake wenzangu Kule crdb na nmb sirudi tenaaa!!
Nasikia wanawake mnapenda zaidi muhudumiwe na mtumishi wa kiume, sababu wanawake kwa wanawake hawapendani?
 
Back
Top Bottom