Huyo mrembo hakuwa binadamu, ni malaika wa uokozi amekuja kwa umbile hilo kumuokoa maana jamaa alikuwa anapenda warembo
Huyo mrembo hakuwa binadamu, ni malaika wa uokozi amekuja kwa umbile hilo kumuokoa maana jamaa alikuwa anapenda warembo
Anafanya kampeni wakati nyumba yake haina choo cha kueleweka[emoji26][emoji26][emoji26]Usichukulie poaView attachment 2832854
Women !! 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂na kutafuta wengine maokoto yaendelee.Kinachofuata ni kuwablock wote😂😂
Jamaa katoka kula toto limeshiba!Ebhanaeee!!
Nikiwa rais nitawatengea kakisiwa huko waende wakarundikane huko. Anayefikisha angalau kilo 75+ anachomoka!