Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,775
- 257,515
Dah watatumaliza...aiseeHivi kuna kitu ambacho hawa jamaa hawali? Tatizo lao hasa ni nini? Too much people ama nini? Na ujinga huu huu mwishowe wanatuletea magonjwa. Sasa hivi kuna ugonjwa wa kifua umetokea kwenye mbwa umeanzia kwao na unasambaa dunia nzima. Jizazi!
View attachment 2831524