Kweli wacha nipambane one day yes na mie kuwa na foursome
Meno yako meupee au uliweka veneers au lumineers? 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🖐Gold huko kwenu huu utajiri mnauchimba sisi tunatafunia chakula 😂😂😃🙌
Huyu kauelewa moto wa jamaa...ila wataachana tu 😁😁😁🏃🏿♂️
Huwa tunaruka maana huwa hawakawii kubadili mawazo. Unajichelewesha mara unasikia aisee SYB mood naona imekata leo haitawezekana labda siku nyingine....🚮🚮🚮
Kuna mapopoma kwenye uzi huu huu watakwenda kujaribu hii 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Mambo mapya mjini View attachment 2831428
Mi tatizo langu sio kubwa sanaa ni jino mbili za mbele zmeguswa tena kidgo sanaa ivyo ziko kama zilivyo😂😂😂.Meno yako meupee au uliweka veneers au lumineers? 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🖐
Hizo huwaga very sexy maana inakuwa ni kama vile mtu kajaribu kuweka shade ya gold kwa mbali. Safi sana!Mi tatizo langu sio kubwa sanaa ni jino mbili za mbele zmeguswa tena kidgo sanaa ivyo ziko kama zilivyo😂😂😂.
Kuna mapopoma kwenye uzi huu huu watakwenda kujaribu hii![]()





🦽
🦽
🦽
🦽