Hivi kuna kitu ambacho hawa jamaa hawali? Tatizo lao hasa ni nini? Too much people ama nini? Na ujinga huu huu mwishowe wanatuletea magonjwa. Sasa hivi kuna ugonjwa wa kifua umetokea kwenye mbwa umeanzia kwao na unasambaa dunia nzima. Jizazi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.