Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20231114_070956.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
AFUNGA NDOA NA WANAWAKE 30 NDANI YA SIKU MOJA.

Mwimbaji Harrysong, nyota wa Afrobeat kutoka Nigeria, amekuwa gumzo baada ya kuvunja rekodi ya kihistoria kwa kuoa wanawake 30 ndani ya siku moja, awali rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ambaye alioa wanawake 27 kwa siku.View attachment 2813141

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiki 🚮🚮🚮
 
.
 

Attachments

  • fe922b8ff2275a80b18bed6fe863b0e5.jpg
    fe922b8ff2275a80b18bed6fe863b0e5.jpg
    12.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom