mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,267
- 75,364
Pisi ya kisukuma hiyo mkuu hebu iangalie vizuri😂Sikuhizi rombo kuna pisi kali mkuu achana na hao wazaramo[emoji16]
Pisi ya kisukuma hiyo mkuu hebu iangalie vizuri😂Sikuhizi rombo kuna pisi kali mkuu achana na hao wazaramo[emoji16]
Ni memes hizi tunataniana tu na kufurahi. No need to panick...Pisi ya kisukuma hiyo mkuu hebu iangalie vizuri😂
Hambhohambho....Ni memes hizi tunataniana tu na kufurahi. No need to panick...
Yeah! Ni pisi ya Kisukuma 😁😁😁
View attachment 2813078
Sasa hapo kashika maeneo nyeti ya mwenzake, wakati anashuka anashika bomba la mwendokasi tena.
Jamaa anachukua sheria mkononi[emoji38]
Sasa iweje aseme ni pisi ya rombo[emoji38]Pisi ya kisukuma hiyo mkuu hebu iangalie vizuri[emoji23]
Hivi pisi za kisukuma zimefungasha mafurushi kama wenzetu wa mbeya!Ni memes hizi tunataniana tu na kufurahi. No need to panick...
Yeah! Ni pisi ya Kisukuma [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2813078