wasukuma bana,
ptuuu!!
mkiwa mnatusema wachaga tuna viba100 mnadhani hatuumii?😆
na mimi pia naunga andamanoUnaandamana nirudishe hii 😂😂😂
mkiwa mnatusema wachaga tuna viba100 mnadhani hatuumii?😆
mbona watasema babe tunavyopendanaNilikua nasubiri hili tamko kwa mda mrefu[emoji7][emoji8], hatimae Mungu amejibu maombi[emoji847][emoji847],
Naomb Umuite Depal aje kushuhudia hii confess[emoji28][emoji28]
Wanawake weusi wana matatizo gani mkuu? [emoji15]
mbona watasema babe tunavyopendana
na watasema tena
mpumzishe sasa akale matikiti😅Napenda kkuona unavyo teseka[emoji3]
mpumzishe sasa akale matikiti[emoji28]