Aisee..
Huyo Askari hapo nyuma anayemwangalia kwa ukali anajisemea moyoni, ENDELEA KUROPOKWA TU NIKUKWIDEView attachment 2805050
Ipe maneno.......
Shoshoo umenonaaa....., nioe siri yako mwayaa.....
Hamna shooo, basi tuu sasa hivi nakula sana sangara na mchicha wa kienyeji halafu pia nimeacha mazoezi...☺.
Itabidi upitilize kituo hadi mwisho wa gari