Mrembo Chuchu iko machweo.
Ukianika nguo mvua ikija zinawahi kuanuliwa.
Karume mchikichin hivyo vibegi tunaviita vinainaiKioo kilichopasuka, kondom, tissue, body spray, charger, kitambaa, kanga etc [emoji1787][emoji1787]View attachment 2800618
Na kwa nin maderu alivutiwa na kutuambia tuhamie Burundi badala ya Eritrea
[emoji1787][emoji1787]asante kwa kunikumbusha mkuu.Karume mchikichin hivyo vibegi tunaviita vinainai
Mchawi mstaafu hapa kuna shida gani? Enzi zenu mlikuwa mnajua hapa kuna nini?
Mambo ya Kilingeni msata haya bro.
Lazima uwe na pepo la ngono ndio utanunua madada poa, lasivyo ni ngumu kwa uchafu huu wa mazingira.
Madelu akili zake anazijua mwenyewe. Labda kwa vile ni karibu 😁😁😁Na kwa nin maderu alivutiwa na kutuambia tuhamie Burundi badala ya Eritrea