Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Halafu hakuna visa....

Na pisi ni kali hatari....

Screenshot_20230501_063458_WhatsApp.jpg
 
Dunia na Mwezi zinavyoonekana baada ya kupigwa picha na chombo cha anga za mbali Cassini... Wakati hii inapigwa chombo hicho kilikuwa kinaizunguka sayari ya Saturn umbali wa zaidi ya kilomita millioni 900.. Mimi na wewe tupo hapo kwenye nyota hiyo kubwa...View attachment 2800932

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yanashangaza sanaa inamaana na dunia inatoa mwanga kwa mwezi usiku, na inakua n reflection ya mwanga wa nyota jua ama?
 
Back
Top Bottom