Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,418
- 7,617
Lazima uwe na pepo la ngono ndio utanunua madada poa, lasivyo ni ngumu kwa uchafu huu wa mazingira.
Lazima uwe na pepo la ngono ndio utanunua madada poa, lasivyo ni ngumu kwa uchafu huu wa mazingira.
Madelu akili zake anazijua mwenyewe. Labda kwa vile ni karibu 😁😁😁Na kwa nin maderu alivutiwa na kutuambia tuhamie Burundi badala ya Eritrea
Akina Magufuli 10, Idd Amin 10, Sankara 10, Gaddafi 10 na Paul Kagame 10. Halafu wape miaka ishirini ishirini. Afrika inabadilika! 😁
Siyo mwezi tu ni mwaka sasa sijaitwa hivyo kwasababu sijataka niitwe hivyo.

🫣)
)
Unakeraaa! 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️