Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1698900523440.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilikuwa naongea na mshkaji wangu, akawa ana joke kuhusu ukimwi kuwa sio wa kuuogopa tena. Kwa umri wetu huu tulipofikia magonjwa ambayo inabidi tujikinge nayo ni yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, matatizo ya nguvu za kiume etc . Tujitahidi kula vizuri kwa mpangilio, mazoezi mengi sio kila siku kusuuza koo tu!!
 
Dunia na Mwezi zinavyoonekana baada ya kupigwa picha na chombo cha anga za mbali Cassini... Wakati hii inapigwa chombo hicho kilikuwa kinaizunguka sayari ya Saturn umbali wa zaidi ya kilomita millioni 900.. Mimi na wewe tupo hapo kwenye nyota hiyo kubwa...View attachment 2800932

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyota hiyo kubwa? Nadhani ni hicho kidoti kingine...Earth is just a speck of rock in a seemingly vast and endless universe.
 
Back
Top Bottom