Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1698890283286.png
 
This, I believe, is not an issue. Hiki anachofanya ndicho kitamfanya asife mapema kuliko tu kama angebweteka na kukaa nyumbani kula mafao. Wazungu unakuta akistaafu ndiyo kwanza anaanza career nyingine. Na inawasaidia sana kusukuma miaka wakiwa bize.

Mimi nampongeza afande kwa uamuzi wake na huyu anayetaka kumpangia maisha yake ni mnafiki tu
Hata mimi pia naona si mbaya. Na pia sidhani kama mafao yake yatakuwa yakinyonge kihivyo, huwenda hata yuko pale kwa sababu maalumu!!
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom