Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1698262904769.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
#FAHAMU
"MARUBANI WA ETHIOPIA WALIOCHAPA USINGIZI NDEGE IKIWA ANGANI "

Mnamo 18 Agosti 2022, Ndege ya Shirika la Ethiopia, Boeing 737-800, iliyosajiliwa ET-AOB ikifanya safari ya ET-343 kutoka Khartoum (Sudan) hadi Addis Ababa (Ethiopia), ambapo ilitokea marubani kulala usingizi ikiwa usawa wa futi 37,000.

Ndege hiyo iliendelea kupita usawa wa kuanza kuteremka ikidumisha usawa wa 37,000 na iliendelea kupita kituo cha kutua uwanjani wa ndege njia namba 25L bila kushuka.

Kituo cha kuongoza ndege (ATC) ilijaribu kuwasiliana na marubani mara kadhaa bila mafanikio.

Baada ya kupita nje ya uwanja wa ndege mfumo wa kujiendesha ndege (Autopilot) ulijizima ambapo kengele iliwaamsha marubani kisha waliongoza ndege ili kutua kwa usalama kwenye njia ya 25L kama dakika 25 baadae.

Ndege hiyo ilibaki ardhini kwa takriban saa 2.5 kabla ya kuondoka kwa safari yake inayofuata iliandika #AviationHerald.

Siku mbili mbele marubani hao walisitishwa majukumu kupisha uchunguzi.View attachment 2792901

Sent using Jamii Forums mobile app
Totally unprofessional!
 
Back
Top Bottom