Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1698239528856.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ARSÈNE WENGER NI KAMA BABA YANGU

George Weah ;"Wakati ubaguzi wa rangi ni mkubwa kipindi hiko,Arsene Wenger alinilea kama mtoto wake. Alinifundisha kua watu weusi na weupe wana weza kuishi pamoja. Huyu ni baba

Kila nilipo kua uwanjani ,nilikua tayari hata kupasuka kichwa ,kuvunja shingo hata uso kwaajili ya ushindi kwaajili yake. Ili badilisha maisha yangu ,nina muhusudu sana.

Ni kama baba yangu niliye mpoteza nikiwa bado mdogo,Arsène ndiye mtu pekee aliye ona kitu kwangu toka mwanzo na kukithamini . Amekua nyuma yangu toka mwanzo hasa katika kipindi cha mwanzo kabisa."

Ni vyema kukumbuka tulipo toka
FB_IMG_1698262354359.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
#FAHAMU
"MARUBANI WA ETHIOPIA WALIOCHAPA USINGIZI NDEGE IKIWA ANGANI "

Mnamo 18 Agosti 2022, Ndege ya Shirika la Ethiopia, Boeing 737-800, iliyosajiliwa ET-AOB ikifanya safari ya ET-343 kutoka Khartoum (Sudan) hadi Addis Ababa (Ethiopia), ambapo ilitokea marubani kulala usingizi ikiwa usawa wa futi 37,000.

Ndege hiyo iliendelea kupita usawa wa kuanza kuteremka ikidumisha usawa wa 37,000 na iliendelea kupita kituo cha kutua uwanjani wa ndege njia namba 25L bila kushuka.

Kituo cha kuongoza ndege (ATC) ilijaribu kuwasiliana na marubani mara kadhaa bila mafanikio.

Baada ya kupita nje ya uwanja wa ndege mfumo wa kujiendesha ndege (Autopilot) ulijizima ambapo kengele iliwaamsha marubani kisha waliongoza ndege ili kutua kwa usalama kwenye njia ya 25L kama dakika 25 baadae.

Ndege hiyo ilibaki ardhini kwa takriban saa 2.5 kabla ya kuondoka kwa safari yake inayofuata iliandika #AviationHerald.

Siku mbili mbele marubani hao walisitishwa majukumu kupisha uchunguzi.
FB_IMG_1698262553752.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wanazani tumesahau kuwa makonda ameuwa watu wetu sana na ni muuwaji.

CCM ina kawaida ya kudharau sana watanzania na kuwaona MALOFA hivi

Basi muwekeni na Sabaya kwa sababu alimtisha Mbowe na mabunduki na akakosa ubunge! Naye arudishwe tu kama lengo ni kuweka yoyote ili kuvuka 2025.

#adui_wa_taifa
#KATIBA_MPYA_NI_JAWABU
FB_IMG_1698262649513.jpg
FB_IMG_1698262653388.jpg
FB_IMG_1698262656312.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom