Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Unafanya nini saa 9 yote hii jamani? Usingizi umegoma ama nini sasa? 😳Babu
Unafanya nini saa 9 yote hii jamani? Usingizi umegoma ama nini sasa? 😳Babu
Nimeshtuka nilikuwa nahisi sijala,kumbe nilikula[emoji16]Unafanya nini saa 9 yote hii jamani? Usingizi umegoma ama nini sasa? [emoji15]
I lavu yu mjukuu [emoji3590]
Mwenyewe hapa pia ndo kilichoniamsha. Kuna ugali na kitimoto sikuumaliza sasa kila nikigeuka nasikia kamalizie ule ugali wewe...yaani dah!Nimeshtuka nilikuwa nahisi sijala,kumbe nilikula[emoji16]
Hahahaha, mie hapa kuna ndizi aisee,hadi nile nitaridhika[emoji16]Mwenyewe hapa pia ndo kilichoniamsha. Kuna ugali na kitimoto sikuumaliza sasa kila nikigeuka nasikia kamalizie ule ugali wewe...yaani dah!
Hivi kwanini ikifika saa 8+ baadhi ya watu usingizi unakata kabisa??
Mida ya wanga [emoji23]Hivi kwanini ikifika saa 8+ baadhi ya watu usingizi unakata kabisa??
Washindwe,
AI generated.
Ndege gani huyu?