"Pesa kubwa niliyowahi kuhongwa na mpenzi wangu ilikuwa milioni 200, nilihongwa na mpenzi wangu ambaye alikuwa anaishi Uingereza. Lakini sasa hivi nipo tayari kuolewa hata kwa elfu 20 kwasababu nimetumika sana"
"Nipo tayari kuolewa na mtu yoyote, awe mzee au kijana, lakini shida niliyonayo ni kwamba hata hao ninaowahitaji sasa hivi siwapati[emoji24][emoji24] eeh Mungu nijaalie ndoa"- Jike Shupa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.