Hicho siyo kizuizi [emoji14][emoji14]
Tamaa ya pesa isiyozingatia usalama wa chombo
[emoji23][emoji23]
Maiti inasafirishwa..[emoji849][emoji849]
Tangazo la ajira lipoLabda ni feki. Mitandaoni humu akili za kuambiwa always changanya na zako...
Au unaweza kuchukua namba zilizowekwa hapo kwenye tangazo ukapiga ili kupata taarifa sahihi [emoji736]️