Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,023
- 61,233
Kwa kweli maumivu juu ya maumivu 🤗
Kwa kweli maumivu juu ya maumivu 🤗
Kweli maisha magumu, hadi Mganga anaBET 🤪🙌
tangazo mbona halina MuhuriMadogo. Tunaelekea kwenye miaka miwili ya uchaguzi. Polisi wanaajiri sana. Changamkeni kwa wanaokidhi vigezo!
Labda ni feki. Mitandaoni humu akili za kuambiwa always changanya na zako...tangao
tangazo mbona halina Muhuri
Hahahaha[emoji23]Hiyo avatar nitaimwagia mafuta ya mwampako,nione nini kitatokea[emoji16]