Bongo kila kitu ni ubabaishaji tu kuanzia NIDA, TFF mpaka Magogoni! 😁
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha hizo mjukuu [emoji16]
Si ulisema umeacha[emoji23]Hao ameachiwa SYB [emoji39][emoji39][emoji39]
Hapana. Hawajaokotezwa okotezwa Ulaya.Taifa la Mungu siyo kwa wayahudi hawa waliookotezwa okotezwa barani Ulaya.
Hawa baada kuuwawa kwa wingi na Hitler wakatafutiwa nchi wakatupwa.
Bado wana hasira kutoka kwenye kumbukumbu za mateso waliyopata barani Ulaya.
Wana Uhusiano wa mbali sana kizazi cha Nabii Ibrahim.
JF ingekuwa inaruhusu ningekuwekea picha uone! 😁😁😁