Yanga itatoboa.
Halafu wanataka eti afukuzwe. Makolo bana 😁😁😁Rekodi zina mbeba.
Kama unataka pira biriani hamia Barcelona View attachment 2774313
Mtaachana tu 🚮🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Wapi Toyoda? 😳
Kimombo ninachotema hata Shakespeare akifufuka atashangaa aisee 😁😁😁
Mvua zimeenda. Natumaini uchumi wake uko sawa na siyo kama Kandabongoman nimemuona juzi hapa kachoka balaa anachangiwa pesa ya kula