Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mambo ya Kilingeni
FB_IMG_1696667344968.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MaCCM na unafiki ni damu moja. Protase Cardinal Rugambwa amepokelewa na watawala wakimsujudia wakati alipoketi Kigamboni na maaskofu wenzake wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na kutoka na TAMKO la kupinga mkataba wa kuuza bandari MaCCM walisema asichanganye dini na siasa
20231007_065831.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MaCCM na unafiki ni damu moja. Protase Cardinal Rugambwa amepokelewa na watawala wakimsujudia wakati alipoketi Kigamboni na maaskofu wenzake wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na kutoka na TAMKO la kupinga mkataba wa kuuza bandari MaCCM walisema asichanganye dini na siasaView attachment 2774352

Sent using Jamii Forums mobile app
Manasiasa yote ni hivyo hivyo tu. Hata ma CHADEMA ni hivyo hivyo tu 🚮
 
Back
Top Bottom