Hii hesabu aliyeipiga atakuwa motivation speaker siyo kwa kuipaisha hivyo
Inachekesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yiyiyiyihhhhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baadhi ya wanawake na wakina dada nchini kenya wameandamana kwa mabango wakitafuta wanaume wa kuwaoa
#DuniaYetu....View attachment 2769333
Sent using Jamii Forums mobile app
Migogoro tu[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani mbona tumejaa huku Tanzania.
Wanatakiwa wavumilie ndoa zetu za kiislam.
Mume mmoja wake wa 4.
Tupo sana tu.
Waambie waje huku
Migogoro gani tena?Migogoro tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo maana benki kuna TV ambazo hazina sauti, wanaogopa pesa za watu zitoroke[emoji23]