Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Hao ni dugu moja
Jamani mbona tumejaa huku Tanzania.Baadhi ya wanawake na wakina dada nchini kenya wameandamana kwa mabango wakitafuta wanaume wa kuwaoa
#DuniaYetu....View attachment 2769333
Sent using Jamii Forums mobile app