Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,145
Kuna muda bajeti haiwez ku accomodate watu wote. Wanashangaa tu ghafla hawakuoni then mara usharud unawaambia nilifika hapo tu one timeNi mwendo wa kmy kmy tu alooh![]()

Kuna muda bajeti haiwez ku accomodate watu wote. Wanashangaa tu ghafla hawakuoni then mara usharud unawaambia nilifika hapo tu one time![]()


"Kuna muda kwenye maisha inabidi ujifunze kufanya vitu pekeyako, hasa pale unapotaka kununua chipsi kuku"



naskia skuizi hadi wali wananume haturuhusiwi kula"Kuna muda kwenye maisha inabidi ujifunze kufanya vitu pekeyako, hasa pale unapotaka kununua chipsi kuku"
Huku unajifuta futa mafuta alf umekaz na sura usionekane kama umetoka kula vitu vitamu![]()

ohooo mjini hapa!Aiseee sasa wanaume tule nininaskia skuizi hadi wali wananume haturuhusiwi kula
Malegend wameelewa hiyo...
mizizi kama magimbi, viazi, mihogo nkAiseee sasa wanaume tule nini
Hivyo huwezi kula kila siku aiseee.mizizi kama magimbi, viazi, mihogo nk
naskia skuizi hadi wali wananume haturuhusiwi kula
Aiseee sasa wanaume tule nini
Sikiliza hii kuanzia dakika ya 1:30 😁😁😁mizizi kama magimbi, viazi, mihogo nk