Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kwenye Interview na Wasafi Fm Zuchu amesema Diamond Platnumz ndiye mwanaume wake wa kwanza kutoka naye!

Baada ya jibu hilo Diamond nae amesema Zuchu ndio mwanamke wake wa kwanza kulala nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Chain ya bandia imenunuliwa kwa pesa bandia.
 
Sultan masudi ndiye aliibuka mshindi ktk shindano la kumtafuta mtu aliye na sura mbaya zaidi Tanzania miaka hiyo ya 1990, akifuatiwa na Dr. remmy ongara huku Mshindi wa tatu akiwa ni Mzee Jangala.

Baada ya matokeo hayo kutangazwa aliyekuwa mshindi wa Pili yaani Dr remmy ongara akalalamika kuwa huyu masudi amependelewa!

Kwani amefanya uchunguzi amegundua masudi anatoka ktk familia iliyo na ugonjwa wa ukoma!
Hivyo hakustahili kumshinda yeye

Na Mzee Jangala pia alikata rufaa kuwa iweje yeye aonekane mrembo na kushinda nafasi ya tatu?
FB_IMG_1694276594178.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sultan masudi ndiye aliibuka mshindi ktk shindano la kumtafuta mtu aliye na sura mbaya zaidi Tanzania miaka hiyo ya 1990, akifuatiwa na Dr. remmy ongara huku Mshindi wa tatu akiwa ni Mzee Jangala.

Baada ya matokeo hayo kutangazwa aliyekuwa mshindi wa Pili yaani Dr remmy ongara akalalamika kuwa huyu masudi amependelewa!

Kwani amefanya uchunguzi amegundua masudi anatoka ktk familia iliyo na ugonjwa wa ukoma!
Hivyo hakustahili kumshinda yeye

Na Mzee Jangala pia alikata rufaa kuwa iweje yeye aonekane mrembo na kushinda nafasi ya tatu?View attachment 2744171

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi masudi sura mbaya yupo??? Kitambo sana sijamsikiaga
 
Back
Top Bottom