ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Holly shit
Jibu sahihi sana.Kwenye Interview na Wasafi Fm Zuchu amesema Diamond Platnumz ndiye mwanaume wake wa kwanza kutoka naye!
Baada ya jibu hilo Diamond nae amesema Zuchu ndio mwanamke wake wa kwanza kulala nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaenda huko [emoji12][emoji12][emoji12]