Mshana harogi[emoji16][emoji16], utajiroga mwenyewe, we tuma nauli.Nawasha data nakutana na contact namba za simu[emoji28][emoji28][emoji28]
Mshana Jr nipe dawa nikaroge haka kaje kenyewe mwanzaView attachment 2743962
Naimbaga bia tamuuuu[emoji16]mawardat uliijua hii au unajikuta unajua sana ukiwa bafuni?View attachment 2743966
Ukishalewa unaenda kulimwaga kwenye frijiNaimbaga bia tamuuuu[emoji16]
Au
Nani kamwaga pomne yangu,nauliza sio mimi oooh
Gari ikifeli breki hapo panakuokoa...