Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_1693419515560.jpg
 
#FAHAMU Rais wa Gabon aliyepinduliwa, Ali Bongo alishawahi kuweka barafu ya bandia katika sikukuu ya Krismas ndani ya ikulu ya nchi hiyo kwa ajili ya kufurahi na kuburudika na familia yake.

Mtandao wa Bleacher Report mwaka 2015, walitoa taarifa kwamba mchezaji wa zamani wa Barcelona na sasa Inter Miami, Lionel Messi alilipwa Euro milioni 2.4 sawa na Tsh bilioni 7.6 kwa ajili ya kwenda Gabon kuungana na Rais Ali Bongo kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wa Port-Gentil uliojengwa katika nchini hiyo.

#EastAfricaTV #AliBongo #GabonView attachment 2734930
Matumizi mabaya ya ofisi ya uma
 
Back
Top Bottom