Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_0676.jpg
 
Nipashe wanaripoti kuwa Polisi Mkoani Pwani wanamshikilia Mchungaji wa Kanisa moja la Kipentekoste na mtu aliyejifanya mshirikina kwa kudondoka na ungo Kanisani. Sasa Polisi kuanza kuhangaika na hisia za ushirikina katika nyumba za ibada, watajaza mahabusu. Lakini wanatumia kigezo gani kuchora mstari? Lakini tangu lini mazingaombwe ni jinai Tanzania? Madhara ya kusajili taasisi za dini ili zitumike kwa mambo yaliyo na maslahi kwa watawala ndiyo hayo. Taasisi hizo husajiliwa ndani ya wiki moja tu lakini zile taasisi halisi huchukua hata miaka 10 kupewa usajili.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 31 Agosti 2023; 01:25 usiku
FB_IMG_1693503654340.jpg
 
Mabegi yenye noti za Franga pamoja dola za Marekani yamekutwa katika Ikulu ya Rais wa zamani wa Gabon aliyefurushwa madarakani hapo jana, Ali Bongo. Makachero wanaendelea kuzihesabu lakini bado hazijajulikana thamani yake kwa sababu kila wakikaribia kumaliza wanakutana na furushi jingine la noti. Hawa ndio viongozi wa Afrika wajiitao wazalendo. Halafu yakiwafika wanasema "please make noise" Kiboboru.!!View attachment 2734601
Kikwetu huyu ndie kiboboru
r1UUI11bTi_0_154_1494_841_0_x-large.jpg
 
#FAHAMU Rais wa Gabon aliyepinduliwa, Ali Bongo alishawahi kuweka barafu ya bandia katika sikukuu ya Krismas ndani ya ikulu ya nchi hiyo kwa ajili ya kufurahi na kuburudika na familia yake.

Mtandao wa Bleacher Report mwaka 2015, walitoa taarifa kwamba mchezaji wa zamani wa Barcelona na sasa Inter Miami, Lionel Messi alilipwa Euro milioni 2.4 sawa na Tsh bilioni 7.6 kwa ajili ya kwenda Gabon kuungana na Rais Ali Bongo kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wa Port-Gentil uliojengwa katika nchini hiyo.

#EastAfricaTV #AliBongo #Gabon
FB_IMG_1693504581361.jpg
 
Back
Top Bottom