Ninawasiwasi sana na hii picha! Hizo 20 percent zinazo soma hapo bila shaka ni kutoka kwenye tovuti zetu pendwa zile!
KweliBasi wanawake wangejua hata 200 wakitutumia tunajisia fahari isiyo na mfano.

Likibaki hivyo linaleta shida???Hamna kazi ngumu kama kulitoa hilo jiwe hapo, enzi hizi barabara za kijijini kwetu tulikua tunapata hala kwa kumsaidia dereva kulitoa hilo jiwe.