


Mshana Jr, Tanganyika tunajifunza nini kupitia ujumbe wako Mkuu!!Baba yake Rais Bongo aliyepinduliwa leo
1.Alikuwa na Watoto 30+
2.Aliitawala Gabon kwa miaka 42
3.Alikuwa na Account za Benki zaidi ya 70 nje ya nchi
4.Familia yake ilikuwa inatumia Tsh Bilioni 174 kwa Mwaka
5.Alimiliki zaidi ya Majumba 40 ya kifahari Ulaya na Marekani
Ngoja nije,tugawane dhambiAya njoo tuje nanjirinji kuna jamaa kiboko....yaani akikugusa tuu wiki ndefu mahari inaletwa home kwa kaka zako

Picha haifunguki.