Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20230826_231610_582.jpg
 
tunapendekeza awe kama hivi, asizidi sana, asipungue sana[emoji23]
View attachment 2729526
Yaani we dogo dah!

Nilishagakupa offer kwamba ukitaka kuoa nitafute nikusaidie kuangalia bone density....huyu hata kwa kumwangalia tu ni SDY. Yaani akibeba mimba tu anakuyutongia...na akizembea baada ya kujifungua ndo imetoka hiyo inakuwa SDY forever!

Kama kweli hupendi wanawake wanene kabisa kabisa nakuonea huruma sana! [emoji16]
JamiiForums493408380.gif
 
Back
Top Bottom