🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
nnacho cha 100g, nikienda mkoa, ndiyo cha kwanza kabisa kuwekwa begini
Kweli.Ndiyo maana ukiona mwanamke ana msururu wa male bestie shtuka. Lazima watakuwepo watakaokuwa wanamla. Hakuna urafiki wa hivi hivi kati ya mwnaamke na mwanaume. Hakuna!