Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 307
- 1,387
This is what Elon Musk and his Neuralink company are trying to do. The hope is that sometimes in the near future it will be possible for Homo Sapiens to just download knowledge and all their memories; thereby rendering the current school system obsolete!Maarifa na muarifaView attachment 2729280
Hahahaha, ina maana hapo yupo kwa Wakurungwa?Doh Ally Salim![]()
12. mwenye afya(sio mnene kupitiliza)#8 is very important fellas. If possible, avoid marrying a girll who had/has a bad relationship with her father. You will have problems in your marriage!
View attachment 2729506
9. Loves Her Creator
10. Humble
11. Mshikaji
13. Asiwe kimbaumbau (kupitiliza!)12. mwenye afya(sio mnene kupitiliza)
tunapendekeza awe kama hivi, asizidi sana, asipungue sana😂13. Asiwe kimbaumbau (kupitiliza!)
Wazuri wengi wamepitia suluba za kila aina kingono kwa hivyo usitegemee mnato wala nini 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Yaani we dogo dah!tunapendekeza awe kama hivi, asizidi sana, asipungue sana😂
View attachment 2729526
lakini mbona kuna mtu namfahamu kajifungua mara 4 ila sio mneneYaani we dogo dah!
Nilishagakupa offer kwamba ukitaka kuoa nitafute nikusaidie kuangalia bone density....huyu hata kwa kumwangalia tu ni SDY. Yaani akibeba mimba tu anakuyutongia...na akizembea baada ya kujifungua ndo imetoka hiyo inakuwa SDY forever!
Kama kweli hupendi wanawake wanene kabisa kabisa nakuonea huruma sana! 😁