Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Na wewe utamuoa huyo huyo kuna mtu? 😳😳😳lakini mbona kuna mtu namfahamu kajifungua mara 4 ila sio mnene
Na wewe utamuoa huyo huyo kuna mtu? 😳😳😳lakini mbona kuna mtu namfahamu kajifungua mara 4 ila sio mnene
ni mfano tu, ila vimodo wapo bana msitukatishe tamaaNa wewe utamuoa huyo huyo kuna mtu? 😳😳😳
Na bado akiwa mwezini, anasema yupo Period.